Saturday, June 13, 2015

HATIMAYE PANEL MARKING YA MALIZA KAZI

Jopo la walimu Wa Kibiti secondary walio kuwa wakisahihisha na kuandaa report za watoto wakamilisha zoezi na kuanza lasmi rikizo zao Leo tar 13/6/2015 mkuu Wa shule kawashukuru saana kwa umoja walo onesha had kazi kuishi kwa wakati na kuwatakia likizo njema wenye likizo na weekend njema kwa wasio na likizo.

Sunday, June 7, 2015

KIBITI SECONDARY YA POKEAA WAGENI VIJANA.

Vijana hao kutoka sehemu mbali mbali hapa nchini wamekuja kwa hiyali yao KA ajiri ya kujitolea sehemu ya muda wao kuwasaidia wana Kibiti secondary school.
Watakuwepo kwa muda Wa takriban week Mbili hadi Tatu. Nakatika muda huo wote watafanya shughuli mbalimbali ikowamo kusahisha mazingira na zingine kadili watavyo elekezwa na mwalimu mwenyeji Wao Karibu ni saana vijana katika jumuiya ya Kibiti secondary school.

Thursday, June 4, 2015

WANAFUNZI WA KIBITI SEC SCHOOL WAANZA LIKIZO

kwa mujibu wa kalenda ya mkoa wa Pwani shule zote za secondary zina taarajia kuanza rikizo ndefu mwishoni mwa wiki hii. baada ya mitihani ya mkoa wanafunzi leo wamenaza kusambaa kwenda majumbani kupumzika kuashiriakumalizika kwa muhula wa pili wa masomo.