Friday, March 18, 2016

MIcHUANO YA MADARASA 2015-16

Ni msimu mwingine wa michuano ya Madara katika shule ya Kibiti High School. vijana wako katika hali ya kimichezo yenye kujaa hamasa na kila namna unavyo weza kusema.
hawa ni mashabiki wakifuatilia kwa umakini kabisa, pambano la mpira wa kikapu.

No comments:

Post a Comment