Saturday, August 27, 2016

VIKAO VYA MADARASA KILA IJUMAA YA MWISHO YA MWEZI

niutaratibu wetu kukutana na wanafunzi kuzungumza nao kila misho wa mwezi, kujua mipango na malengo yao, kukumbushana mambo ya kitaaluma na kinidhamu hata kimichezo. ilikuwa sana IJUMAA..
hapa ni HGK katika picha ya pamoja na mwalimu wao. Ms.J L. Lugina. wakiwa na mwl. mwanafunzi. Mr. Mbonde zao letu wenyewe.

No comments:

Post a Comment