Saturday, August 27, 2016

WANAFUNZI KATIKA MATUKIO BAADA YA KIKAO CHA PAMOJA

 HGL

PGM
 HGK

EGM

EGM2016 NAO KATIKA UBORA WAO

Hawa ni EGM vijana machachari kabisaa wakiwa katika ubora wao kwenye picha ya pamoja na mwalimu wao.
kwa kweli mliyo azimia kwenye kikao na mlezi wa darasa tutaya shuhudia kwenye utekelezaji wake.

VIKAO VYA MADARASA KILA IJUMAA YA MWISHO YA MWEZI

niutaratibu wetu kukutana na wanafunzi kuzungumza nao kila misho wa mwezi, kujua mipango na malengo yao, kukumbushana mambo ya kitaaluma na kinidhamu hata kimichezo. ilikuwa sana IJUMAA..
hapa ni HGK katika picha ya pamoja na mwalimu wao. Ms.J L. Lugina. wakiwa na mwl. mwanafunzi. Mr. Mbonde zao letu wenyewe.

KIJANA WETU NOSHARD AMETOA TRACK MPYA fT rYAMOND

Ni track mupyaaa kabisaaa, kutoka kwa Noshard zao la KIBITI SEKONDARY. hongera na kila raheri.. isikize hapa.,,NEW TRACK NOSHARD FT rymond WCB track ina itwa AHADI