Ni shule ya serikali ilo anzishwa mnamo miaka ya 1980, ili kusaidia kupambana na adui ujinga na kujikita zaidi katika somo la kilimo kwa kipindi kile.